Habari ya asubuhi

Leo nimeamua kuamka mapema kupaka rangi kule nyinyi mindro class mmejenga but I am in a very terrible mood.

Haikosi hii ndio masaa mnapanga assassinations na corruption deals juu ya machungu ya kurauka kama kuku.

Thank God I don’t have to endure this every day. Lakini on the flip side hewa ya 6 am ni safi sana until meria na watu wake waanze kuzungusha exhauster zake huku estate.

Good morning…

Niaje denis?