Habari - Habari za ndani na nje ya Nchi

Habari ni program inayokuwezesha kuwa wa kwanza kupata Taarifa muhimu za matukio muhimu yanayojiri kote nchini na Duniani kupitia simu yako ya mkononi.

Habari inakueletea taarifa muhimu kutoka vyanzo vinavyoaminika, visivyo na upendeleo na vinavyozingatia weledi na ubora wa Hali ya juu.

Habari inazingatia umuhimu wa muda wako, hivyo tunahakikisha tunazingatia urahisi wa utumiaji wa programu yetu.

Karibu

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.android.tz