Gym rats:kamande cheap protein source

apart from cassava, your’s truly have also introduced lentils to my diet. they are tastier than madondo and dengu which I don’t like. From Wikipedia they got more protein than soy.

recipe
https://newordinary.files.wordpress.com/2013/10/20131019_090903.jpg

Photo credit: recipe blog

lentils are good for ev’one

kamandee tenee ilikuanga chep alafu venye watu walijua ni powerful ikapanda bei ajab

Mostly which community? The name before then wasn’t New but couldn’t remember rating them.

ati community?!?!
si jina Kamande ni kikuyu na ni zile beans za oval oval ivi

1 Like

I associate kamande na some dudus, you know them.tigúo?

hahah eeeh neguo…

1 Like

Now that unalishwa upate nguvu za kitanda kwani how feeble were you hadi akaamua kutafuta chakula ulishwe?

Mboss 95kg 6ft pure muscle. Hamna picha. Take my word for it.

i think hujanielewa.

Hio weight sio ya saahuu, mambo ya new diet ndio current. Hivo ndio naelewa mkhwasi.

not canned packed like sugar or rice from the supermarket, labeled kamande.

Very tasty especially with chapos… ION @Web Dev =@junkie. Niulize kwa nini

1 Like

And why the hell would one cook cucumbers? I prefer raw in salads and sandwiches

kamande pia ni mguu sita:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

hizo si cucumber, ni courgette

2 Likes

hizo Lazima zipikwe jamaa hatambui

Kamandeka

Sio junkie. Hata klist walikuwa watu tofauti. Na wote ni watu wa gym. Though naskia junkie alipost pic yake akikaa kama ng’ombe kwa drought.

2 Likes

Web Dev, mbaazi pia ziko na one of the highest protein content za legumes.