Guys...

Nimefutwa kazi .
Hata haikuwa kazi ya kipato fiti hata hivo lakini bana imeniwasha sijui mbona :smiley:

Was talking with my buddy amidst job… You know usual guy talk while working… Nikamuuliza mbona anakimbia kwa job hivo… Enyewe pace yake ilikuwa imeshika…

I didnt notice Supervisor behind me. Fala kumbe ikona umama, sijui ako anadai kujipendekeza kwa boss au nini… Dude , huyu supervisor, went kuropokwa kwa boss, adding salt nikama… :confused:
anyway next boss akaniita akanijenga dau zangu, hakudai story mob.
alisema naonekana nimechoka so sidai job alafu akanichapia nitokomee… Just like that…

Hawa maworkers wengine wanashinda wakiniangalia nikama nimeuwa mtu…

Wadau who has been through the ringer??. Nilipizie huyo invigilator ama?
.Nikama amenitoa timing na plan zangu, Wanaume kama mabinti… smdh…

Haya, amka nikutume unanibuyie bread. Macoins zenye zitabaki nunua ndom unyonye polepole….

Sa dharau ni ya nini yoyo :confused:

Invigilator kwani ni exam?

Baada ya dhiki ni faraja.

for lack of a better word… huyu msee anazungukanga akipimia wasee rada

kwani wafanya kazi wapi huku watu wanaenda mbio?

You have rights man. How can you be fired without a hearing? or did you work in the informal sector? Hope you were given your service pay.

Pole, we dont even fire house girls like that. what kind of job was this? what was the agreement on employment?

Yaani mtu akitaka bread anatuma huyu jamaa ama yeye ni distributor?

Ako available kutumwa dukani…
Usable temparament - General - Kenya Talk

You’re just a statistic, calm down.

[SIZE=1]but kuna vacancy ya deputy governor[/SIZE]

Hii ni kama kuachwa na dame kiatu.Lazima uchanganyikiwe na uwashwe ile mbaya.

Pole mzeiya. Mfokee huyo jamaa ,maanake sio mkubwa wako tena.
Kisha uondoke na msemo wakanda 4eva nikaaaaaaaa!

Don’t revenge, I know you have the urge to do it, but the invigilator is an employee na ata onyeshwa mlango pia. One day you may become his boss.

Nilisikia kuuza mayai mboiro ni lucratif zaidi.

See; Mashamba, Arap

You can sue them