Gumzo la Taifa: Diamond aibukia kwenye show ya Davido iliyoandaliwa na Cloud Media

Chibu alienda kwa heshima ya mshikaji wake.

Ya Ngoswe haya

Behind the enemy line

Umeona eenh

Jamani ndugu zangu wabongo, Ruge hakujitakia kuumwa mtihani wa kiafya unaweza kumpata yoyote kati yetu! Msimhukumu kwa sababu anaumwa huu ni wakati mwema wakumuombea kwa MOLA amrudishie afya yake,it is very weird to judge a person who is in a hospital bed fighting for his life! Kama kuna lolote juu yake msubirini arudi kwenye afya yake ndio muendeleze hayo malumbano ambapo nae atakuwa na nafasi ya kujibu

Nilifikiri URUSI kwenye WC

Not behind it is inside enemy territory!