Governor Loses Kshs.300 Million...

Sema being caught in a catch 22 situation,serves him right though. Ingekuwa wewe what would you have done?

[ATTACH=full]3065[/ATTACH]

serves him right

pesa ita saidia bibi wa aide na boyfriend … people who had no interest in the money. life is very unpredictable…

U cannot threaten me wth 300m kwanza gavana, I would jus employ recce squad 4 protection wth tht kinda money

What happened to #no mbicha= HEKAYA IN CAPS.

1 Like

Kwani hii governor hana familia angeweka kwa acc zao?

Give more details na pics otherwise hii ni MHARO

hehe i can imagine how he is feeling right now serves him right

Just take a hostage…that always works.

Theft 101…mattress account is the safest way to keep looted cash!
Na musianze kuniambia maneno ya wezi!

Hiyo mattress acc ni mbaya sana…kuna wakati before mpesa nilikua salesman wa chumvi ya ngombe…nikawa weekend nimeuza stock yote…sunday jioni nika ficha 38k chini ya mattress nikingoja monday ni peleke equity…matha wa kufua nguo akacome hiyo siku nikamuacha akifua nikaenda shop…hiyo pesa na huyo mwanamke sijawahi waona hadi wa leo

2 Likes

Mattress account is just the term used sio lazima iwe practically chini ya mattress!

Yangu ilikuwa chini ya mattress buda stock nzima ilienda hivyo

:smiley: :smiley:

I hate when the media does this…if it involves senior politicians and a lot of cash, no names are mentioned, but ingekuwa ni commmon citizen , they mention all his names, id number, relatives,
pets, girlfriends, wives, height, weight and a picture to boot.

1 Like