Government shut down

Wenye mko US kwani government ikishut down jikoni ya white house inafungwa? Naskia Trump alinunulia vijana Pizza na KDF 300 akawaserve

[MEDIA=twitter]1084998356999405568[/MEDIA]

:D:D noma Sana

Ata Kenya US Embassy hawajalipwa mshahara. Iko mmoja alikua ananiomba loan

Hii president ya America ingeingia enzi za akina Hitler na Pol Pot ingekua mbaya kuliko wao na mbali sana! Just think about it!

Ana behave nikama White House iko Kabarak.

That’s what Americans are eating, day in day out.

Madathi

[ATTACH=full]220348[/ATTACH]

Mmmm after close to one hour of fishing for new converts… ummm reaching… inaonekana wamekataa kuingia box.

Hehe. Try again another day.