Wooi. Jana nirijaribu kuoba idathi nikanyimwo juu I was not “a new villager”. Nikajaribu kujitetea, wapi. Sasa hii nimewekwo senior villager, nimejua baas, ♫ ♩ ♪ ♬ luwere idathi luwere ♩ ♪ ♫ ♬
[ATTACH=full]7149[/ATTACH]
Wooi. Jana nirijaribu kuoba idathi nikanyimwo juu I was not “a new villager”. Nikajaribu kujitetea, wapi. Sasa hii nimewekwo senior villager, nimejua baas, ♫ ♩ ♪ ♬ luwere idathi luwere ♩ ♪ ♫ ♬
[ATTACH=full]7149[/ATTACH]
Is it me or you who is high …???
Ease up on the drinking @Purr_27. You’re seriously getting me worried
@agik umekuwa hii mtaa for how long?
I came just the other day, some time last month. Ata jana nilikuwa nadhania am still a new villager kumbe nishapandhishwa cheo
UOTE=“agik, post: 70930, member: 957”]I came just the other day, some time last month. Ata jana nilikuwa nadhania am still a new villager kumbe nishapandhishwa cheo
[/QUOTE]
Hehe. …you know people!
Hehe. …you know people
Getting excited over nothing @agik
[ATTACH=full]7150[/ATTACH]
Or rather… people know me. Sijui???
hehe thts too hard
[ATTACH=full]7151[/ATTACH]
What excitement? Huoni naomboleza idathi imeenda
mbona unapost mandazi za @Unicorn bila permission? vijana was Sikh hizi mbona Hanna heshima kwa wazee?
Hahahaha utapewo Stoney ukikuwa elder.
Hoya official :eek::eek::eek::oops:
hizo mandazi sambaza
[ATTACH=full]7156[/ATTACH]
@admin hii ni hujuma. kila elder apewe uwezo ya ku edit rank yake
hehehe si Mimi ni system ndio ilifanya hivyo
Asiii,this promotion needs serikali iingilie kati. Mimi amekuwa hapa longer than @agik and am still a villager.
How did you do it @agik?
Vyeo ziongezwe na me nipewe cha crazy corner