Pros: Beautiful l, premium feel
Cons: Thumbprints
siku hizi kila kitu Kenya ni mkopa mpaka gas
na hio sio glass ni shiny plastic tu Samsung A05
Kitambo ulikuwa ukibuy simu ya 4,999/- ni yako unaenda home ukijua ni mali. Siku hizi unajuanga ni deni.
Is what I used to take the picture. So which phone is the other one?
A06
Damages?
12k
Is that the total cost?
MKopa itakuja close to 30k
That’s how they get you. Anyways, lemme find one mtu ameshindwa kulipia then I flash it.