Girlfrriend anasumbua

Wazito . Girlfriend amenipea ultimatum tu nikacheka nkienda job nkidhani ni unnecessary drama za wasichana. Mtoto wa watu amekuja hadi job akaacha key kwa security, I love her to death and i plan to wife her but at my own timing. Nini mbaya na wasichana? Claim:She wants a serious relationship

tata tararara

niaje @123tokambio

Yule daktari anakuja next ndiye wa ujinga…
Ndiye huyu hapa chini

wewe ni mafi in my eyes

Leta full story… shenji.

chafua vitu daily then bring a detailed report for more advice

If you loved her to death you would have already wife’d her…

Bibi anataka family but me thinks we too young and financially we not that stable… She is, 23 and am, 25.She brings this way too often

Ako na boll

Imeburuka[ATTACH=full]221637[/ATTACH]

Weka boll

You not doing her right.

This signature looks familiar .

bado… hadi naogopa sekete skuizi

ndaramuika wega,we nowende ngwike wega wamatina?

Jipe miaka zingine tano mijamaa.

Treat io ultimatum kama gateway ya Domino’s effect. Ukioa jiandae kukaliwa kama kiti ya Shoeshiner.

Leta number yake nimsomee kidogo

Leta mbisha tuone kama unafaa kumuoa btw getting married can bring luck

Huyo ako kwa relationship na anadhani the other guy MIGHT be better than you. Relax uone next month atakuwa in other relationship.

I was given the same ultimatum 3 years ago, nikanyamaza. 3 months later dame ako pregnant na jamaa mwingine. They are happily married now and i wish them the best.