Leo nimeamka nikachapa looks pia mm nipeleke mrembo Valentine’s. Shock on me, amezima simu. Hizi maua sijui nitafanyia nini…
Chocolate nimekula mwenyewe. Kunguru hafugiki…
Leo nimeamka nikachapa looks pia mm nipeleke mrembo Valentine’s. Shock on me, amezima simu. Hizi maua sijui nitafanyia nini…
Chocolate nimekula mwenyewe. Kunguru hafugiki…
Kweli kuna watu mko na bahati…errr…valentine watu wanaenda wapi saa tano? Saa tano mchana?
yani dame kukuhepa valentines? hehe ulikosea dunia nini?
Wakubwa mulisema Valentine ni 18- 25 yrs?
Nashuku mm ni side nigga.
Afwande acha hizo banaa.
Huyo dem ako slippery ka wewe…usijali kijana leo kuna ndume itamwagia yeye ndanii
panda hapo nje. itakuwa tayari next valentine
huyo pea yeye red card
I thought niccers ndo uhepa valz,
kuna msee hapa ameblock slay queen and after an hour or so anamtumia tried calling message:D:D:D:D
attend hii conference
[ATTACH=full]224919[/ATTACH]
Akuwe slippery vizuri
She is now planning on which relative to “kill”…
Mbisha uki kula shocolate na mau uki wipe nayo mkundu
shait in my years in campus i found out the lady i was dating was having a fling on valentines day ithekaya loading…lets say tuliachana hapo
mkujie…nmemalizana na yeye…
Kuna mmoja hapa anakaa suspicious inaezakuwa Ni yeye??? Amevaa pink na nimchoclate, … :eek::D:D:D. Usiwaitence kaka
nafikiri ni huyu ako kwangu saa hii. tunashare?
Waiting on it bro.
jinga