[MEDIA=twitter]1007878207188688899[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1008099644356939778[/MEDIA]
Sisi kama kawa tunapost tuu video huku.Haaaahaaaa full raha.
inawezekana mkuu hahahaha
Walifikiria wanatubana sisi kumbe wanajibana hadi wao.
No one is above the law
Atapostia wapi?
Maana jf haipo.
Labda hajui kama tuko huku, mshitueni
Itakua
Karma!
Msigwa ni ndege aliebaki tunduni wengine wameshatoka tunduni
In Juma Nature voice.
Senge senge tu
Makanusho ni lazima yawepo… ila ukijaribu unapotea kimya kimya…
Cc: @Mahondaw
Kwa thread hii unaweza kufanyika uteuzi leo ili apost kuwa prove wrong kuwa yuko hewani, awamu ya mapichapicha hii
Ila huyu jamaa niliishamsikiliza mahali fulani kama mara mbili hivi, maelezo yake yana utata sana kwenye hili la usajili wa TCRA!