Germany vs Mexico thread

Tiyari Germany mbili naona hapa ni dry fry manenos.

Na ndio vile nilikuwa na-hope akina El Chapo de la Madondo wataweka hawa bratwurst kwa burrito alafu wanakuwa kichungi tu.

Defense ya Germany iko sawa.

Missed those two goals catching up on useless Kenyan politics.

Afande leo umebet.

Mexico ni shit. Germany pass zao ni smooth kama silk lakini mexico ni kama wanacheza kiumbitho…hehehe

nipewe link ya kustream tafasali

Mexico wakikuwa composed watafunga.

Mwenye alisema hapa these German youngsters ni future prospects hakukosea…

Nefer efer.

Naona Mexico wakikomboa ,hizo mbili ziliwapiga surprise kama shoti za mufungua.

VS but when has Germany ever fielded a weak team…me thinks not a single time. Hii team sioni ikifikia makali ya 2010 team (kina young ozil,Mueller…)

well oiled German machine.

I’m very sure Joachim will field a stronger team for the qualifiers and world cup, but wewe unaonaje hao vijana. Wakifika Euros hawatakuwa wameiva kaa squad ya 2010?

Germany has a lot of depth, its other team is doing well in the under 21 euro championships.

Atlist watu ya GG watanukisha kitunguu

I think Mexico was the better team of the two but they kept squandering their good chances…this is the best match I have ever seen in my life…very intriguing…

To say the truth Mexico’s 89th minute goal by Fabian was awesome… I think it deserves the goal of the competition award