Genius

Huyu mtoto mdogo ni genius kuliko watu wengi wenye walifanya physics high school. Waka soma hydraulics miaka nne na hata break ya bike hawawezi unda.
[ATTACH=full]168736[/ATTACH]

God bless that mafaka

Huyo akiapply any injiniaring universiry huko kwao inafaa wamkubali solely on the strength of this video, hata kama tuliiona na Mark Antony tukipiga Cleopatra combi.

noma sana

A- in '94 kumbukeni

Watu wa A in 94 kazi ni kuuza na kununu kuma pale 64

it was done waaaaay back .plenty of vids on you tube