Bought earpods kwa bei ya mkulima kwa oria. Man! they are just as good as the originals atleast going by my experience and comparison.
Kuna Awei 920BL au 990BL, meeeen, izo stuff ziko toppest, naweza compare na kina Bose. Meffi @syndicate anazikinda
Hio jbl naitambua pia
besha shigana?
Nani amewahi tumia mali ya Aucma?
Aukuma nishai ona ni televisheni ya mtungi…
Awei A920BL - Ndio hio mali hapo na bei yake -
Uko sure haukuwa unacompare na generic zingine mbovu from your ‘experience’?
I use legit shit fala hii
That’s what humans tell themselves when they can’t afford the real deal and get knockoffs. They are as good as the real deal. Nobody is judging
peasants watatuonyesha mambo
Sigwes nunua immitation pesa hizo zote. Wacha nisave zifike bei ya original.