Gavana wa Taita pia ameanza kazi

TAITA TAVETA: County workers will be required to dress ‘decently’, the new government has said. According to Philemon Mwaisaka, the county chief of staff and Governor Granton Samboja’s private secretary, the new code will see the employees dress ‘decently’.

1 Like

kwani walikuwa wanavaa aje serikali ya mrutu

[QUOTE=“Meria Mata, post: 1174669, member: 139”]
TAITA TAVETA: County workers will be required to dress ‘decently’, the new government has said. According to Philemon Mwaisaka, the county chief of staff and Governor Granton Samboja’s private secretary, the new code will see the employees dress ‘decently’.
[/QUOTE
Weka hekaya kama senior talker.[/QUOTE]

1 Like

[ATTACH=full]121525[/ATTACH]

18 Likes

Ongea kinduli kama kiswahili nakua ngumu

5 Likes

Mbona Joyce Lay hakushinda kiti ya seneta:(

:eek:

Alipata ya Senyeta.

5 Likes

Uyo Mwaisaka ni mwizi mkubwa sana wa ardhi huko Mombasa.

1 Like

ni nini kanono

1 Like

granton samboja ni yule jamaa alikua anatuletea morning show pale citizen around year 2003?

1 Like

Yes

1 Like

Huyo si alikuwa na job hata gava ya Nyayo?

1 Like

Alikuwa owner wa Milele FM before selling it to MediaMax.

1 Like

This guy and corruption are like twins…

1 Like

Taita Taveta county itakuwa looted sana.

1 Like

Namuenzi Samboja sana tangu hapo awali alipobobea katika nyanja ya utangazaji. Pia namtambua kama mwana dini na anayezingatia maadili bora ya kikristu.

How low have the mighty fallen! Philemon Mwaisaka chief of staff to Granton Samboja? Kitumbua cha Samboja chaweza kutiwa mchanga na Mwaisaka…waithaka!

3 Likes

Hapo kaka.

1 Like

umeshawahi kumuuliza degree/shahada aliipata vipi? na mbona ameenda kortini kusimamisha kuchunguzwa?..tafakari hayo!

4 Likes