Gamers Assemble

Links za Destiny 2 Beta na izo game zingine recent zikuje priss.
this thread is for gamers only. na sitaki FIFA

1 Like

mimi hunyyuka watu FIFA sana

About to make a mega ppt thread Leo kama kawa includes a lot if gaming shit …
[ATTACH=full]122753[/ATTACH]

1 Like

ingia Windows Store ucheze beta za Forza

Fifa mimi ni undisputed east and central Africa

1 Like

una chocha za ufala uwes

1 Like

Haha the worst ni kiwa ata huwa sijui mambo ya teams…i just pick one and start playing wakati mjamaa amespend the last 5mins building his team na kuwapa mapositions