Gachagua under fire over remarks on Kalenjin youths

Kenya Kwanza presidential running mate Rigathi Gachagua has sparked reactions on social media after his remarks on Kalenjin youths went viral.

Speaking during a rally in Njoro on Friday, Gachagua appealed to the Kalenjin youths who engage in cattle rustling to stop the vice.
[ATTACH=full]447318[/ATTACH]
“Vijana wetu wa hapa wa jamii yetu ya Kalenjin ambao kazi yao ni kuiba ng’ombe na mifugo, tumeomba watu wawachane na mifugo ya wenyewe kila mtu achunge ng’ombe yake,” Gachagua said.

Unaona vile wakale wanazusha…Okuyus wenye wana support Arap Sugoi bado wanajaribu ku sugarcoat Gachagua.
Wanasema ata hajawai kuwa DO kule Molo…ukitaka kuona wajinga tafuta @ChifuMbitika na wenzake

Liwe liwelo Hadi kwa debe

Mimi nimeokoka sitaki mambo ya siasa tena

Accommodating kipmenos sindio @Kalenjin101

Gachagua ako sawa. Are we complaining?

He is perfectly fit for the DP position. A no-nonsense disciplinarian who will help the incoming president steer this country to greater heights.

Kwani rustlers hawapewi empowerment na uda

It is easier (and adventurous!) to take your neighbour’s cows. It doesn’t matter if you kill him doing it.

Walitaka kuchunga ng’ombe za wengine?

Gachagua mwenyewe ni ng’ombe, he should be stolen. He is campaigning harder for Baba than even Martha. Mchele na nyama dimwit.

:smiley:

Gachagua anasema tu ukweli hapa . Wakale waachie hii kazi professionals … career rustler’s and government sanctioned Pokot.

waspere si ndio wanakuwanga wezi ?