Huyo amadi anasoma kitu different na kile gachagua amepewa asome , judiciary ni ghaseer
Be kind to our teputi
:D:D:D
Manās anakaa atabebwa na upepo akitetemeka kukiwa na jua.:D:D
Hiyo ni excitement
Ni bahati hajaangusha bible, mkono ilikua inatetemeka ka shieet.
Anaact kama shoti ya kwanza after an eighteen years long dryspell
[ATTACH=full]465552[/ATTACH]
Vile Unye na Ruto wamepatana kwa dais
Azimio might rush to the supreme Court tomorrow to challenge his legitimacy
Thatās why they were very insistent on reading the words as they are in the constitution. Bado wanaogopa kuchezwa na ādeep stateā. You will notice that even WSR inserted a few words.
Rigathi Gachagua alipiga hio oath remix poa sana :Dā¦