FUNNY KENYANS

Nakumbuka tukiwa high skul tukifanya cat then English composition was about writing a recipe on how to cook rice and meat stew for 5 people, saa hizo uko busy unaichora then msee mmoja uko nyuma akaanza kulia silently akitoa machozi, mwalimu akamuona, akamwuliza what’s wrong, akajibu nakata kata kitunguu,
niliona mwalimu amechukua Biro akaandika kwa paper yake sijui aliandika nini, but i guessed ni marks ya free

Huyo alikuwa na Kipawa … Distinction!

:D:D:D

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D

telegram things…group name…SIPENDANGI UJINGA

ndio hio pwahahaha

wrin

:D:D:D:D

Hehehehe.
Ulisoma class moja na @john_doe?