Izi light Zina chapa sasa maintenance muhimu na mimi sikusoma mpaka iyo page [ATTACH=full]193042[/ATTACH][ATTACH=full]193043[/ATTACH][ATTACH=full]193044[/ATTACH][ATTACH=full]193045[/ATTACH]
Wewe ni bouncer wa club gani
iko wapi wale Momo wetu?
Waiter unajifanya unajua electronics ndio upandishwe cheo
Funga hiyo chupa unaharibu pombe, funda hii…
What is the problem
peana all the information…otherwise hii yote ni meffi
Ata sjai enda gym. Alafu I hope from club
Ata Gym sjai enda. Alafu i hope from club to club depending on the gig.
Izo ni Disco stage effects serial D-095 RGB
Now as you can see the ring should light but iko off so i want a fundi to fix em
Sku izi napewa show sku mbaya siezi ata waona
Sasa pia wewe na iyo akili yako waiter anaweza pewa cheo gani. Sjai post anything about service coz i know nothing. Ata electronics sijui na sina kiherehere.
I know Music lights and programming.
I was drowning my sorrows
na uko wapi
Leo Niko Southfield mall
Hizi lights uliundiwa ama bado
mhudumu…leta glass
Naenda ku confirm na fundi kesho
Iyo Avatar ya @Kingshasnashi na guitar