Ktalk isn’t accessible on opera mini. Mtu wa shamba kama mimi mwenye net ni E 20 hours a day nko na shida. Then again browser/chrome huchukua time kuload stuff when on E or 2G. @Deorro ama @admin fanya mpango
ensure umeinclude www kwa adress bar
kama umezoea kuandika tu Kenyatalk.com andika www.kenyatalk.com
a fix is being worked on
about chrome use the data savings option. pia reducing images quality can make the pages load faster
Acha nitumie chrome basi
kama umezoea Opera just put www before the domain name, once umeingia hakuna haja ya kufanya hivyo tena. ni one time thingy
Imework but naona pia chrome iko sawa baada ya kuweka data savings
@Deorro Niaje mkuMBWA
poa, give the site a week na itakuwa sawa after all the problems are identified and fixed
I told you I had the same issues with Chrome a long time ago ukaleta zile arguments zako nikasema ‘to heo’, but I got sorted, am good.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
unadai equator ana tropic of cancer?
you told me chrome is slow on 2g networks??
mkuMBWA siku hizi uko na jokes. Ati mpaka unapea msee options?
Ali update software ya vitisho
@Jimit issue has been fixed, ebu jaribu using tu kenyatalk.com
Tumia UC browser the latest. Very fast even when uploading photos.
hata mimi inakataa solution nimepata ni kuingia kwa history ndio ikubali kuingia (opera mini)
Aliuninstall firrings.apk.
Tumefix already, it works fine
UC Browser you’ll never go wrong
UC Browser hoiyeeee