FU USHURU

FU

Leo umekriminalize kutovaa mask.

Wacha nikushow Prezzo:-

  1. Mimi kama mtuwa mjengo mi humake soo.3 kila day

  2. Niko bibi na watoto 3. Chakura ni kama Mia 200 mafutaa taa…hatajiweka.

  3. Mi hutembea hadi job ndio nisave pesa napata.

  4. Leo. Polisi alitaka kunishika leo Juu sina mask. Kuniweka pigu. Nilimwabia anishike tuu manake sina nguvu ya kupigana. Alinishow ninue mask mia mbili…na kesho ninuweingine mia mbili.

  5. Naskia wahisani Walishatoa pesa mabilioni.

  6. Naskia Mtu anaitwa joho anapatiana hizi masks bure.

  7. Naskia ulipatiana 100 Million ndio wanasaa walipwe. Kwani unataka watuwakufe kama wametumbuizwa?

  8. Naskia madaktari wanataka pess zaidi hawajalipwa

  9. Naskia siwezi kwenda busia wala mobasa…kwa huyo mtu anaitwa joho.

Ulaaniwe ushuru. Na malipo hayo tuyaone sisi wahohehahe. Haya machozi yasianguke bure

Ungeenda kwa public hospital uitishe mask for free. Bonobo

Wewe unakaa ulikula school fees.

Unanitusi omwami…Niletee laini saba. Naujee kama ushasema kwaheri zako

Sikuenda shule omwami…basi sina Pesa hizo zakukula

Ulifika darasa lipi?

Humu tanaifahamu kama gredi. La nne

kama ni mask unataka , sema ununuliwe

Lakini omwami…
…do you know what you you poverty people live with in the country? Do you understand that today a neighbours neighbour tod is sleeping hungry. …with their children one 9 month old. Wearing a mask is t least of my problems. I write f so many others who can’t be here

So no. Stay with you fu masks. You “middle class this not our problem let u protect ourselves. Shitload of person”

What amazes me is that you can speak this level of English and make only ksh 300 a day.

oho pole sana

was just trying to help

Effort. Mimi husoma. Mwenyewe. Siokufunzwa

With this effort you ban bullshit yourself into a 40k a month job or hustle.

40K ?..So, I fall into the We-Are-O.K-US-Middle-Class-PeopleTrap?

Hahaha Omwami…u-kweli ?

You have to start somewhere. Right now if you stand in the middle of upper hill, and help push vehicles that overheat due to lack of power to the side, you will make more than ksh 300 a day. Also hapo kwa mjengo, you don’t know how to do floors. Be a floor contractor. I learnt how to do floors on youtube, wood, tile, cement (the only one I’ve never done).

Asante Omwami.

Nimeskia. Kesho mimi na magari Ni skumaskuma.

Nirushie rinkg ya yutube unasema.

Msahara yangu yakwanza nikonawewe asantewise.

Videos ni mingi. In the hundreds. Just YouTube and type install tile floors.