Salamu wakubwa. niko na mjamaa ameniambia mimtafutie FTA decoder ya peasant yenye itafanya uko migori county. Hiyo maneno mimi hapana jua vizuri nani atasaidia talker jameni
Talk to @Meria Mata or @Luther12
hebu soma hizo thread ziko hapo juu alafu urudi tuongee
DVB-S2 or -T2?
bamba tv
nimezurura town sijapata bamba mzito. naona ingine inaitwa sijui sonar sitaki niichukue ifike uko ikatae kuonyesha
@luther Iyo DVB mimi sijui ni nini nataka ile nikifika uko haitupi signal and @meria nataka mtu ako nairobi tupatane kusho nione kama ntabeba mali
shida sio decoder, shida ni signals hazifiki huko mashinani.
nunua sky life you wont regret
Ulisaidika? Btw MIGORI T2 signal ni meffi, nilikuwa Nyatike juzi, kama anaweza atumie Azam dish or Gotv.
I sell the decoders but signal ndio shida. Sonar is also very good, nimeuza like 3yrs now no disappointments.
nimefunga v7 combo huko migori na iko swaffi sana
Unapata nini na nini nayo?
EPL tu ndio noma otherwise the rest zote ziko na pia replay za Epl ziko so the rest za dsthieves ziko ndaaaaaani ndani tho natumia 8ft dish ni noma juu sai directions za huko zote lazima mtu anaambiwa karibu na pale iko ki satelight kikubwa i think wanaona mimi ni spy or somethin
Been there, done that. Welcome to the FTA world.
I was talking of T2 signal. Satellite is very Ok esp Nilesat 7w/8w
Whats birds?