Fridalicious 2

Kwani leo watu hawapewi kitu,coz i have not seen thread ya wakina webdev n uwesmake . . kama wamekelea chupa ya konyagi kama imelalia meza … plus water n soda …:D[ATTACH=full]4265[/ATTACH]

2 Likes

uwesmake is busy going through the videos that Hash_Tag sent him… and preparing defense coz he has featured in 10 out of the 20 he has watched so far. Yani uwesmake is ‘Rambo’ in Hash_Tag production.

4 Likes

hiyo pic ata haionekani

wacha ni malizie

[ATTACH=full]4270[/ATTACH]

1 Like

HEHHEHEHEHEHEH MUTANIUWA NA KUCHEKA NA NIMELEWA CHAKARI