Form ya socialites!

Wadau …kuna socialites wamekaa na mimi na inakaa wanatafuta form. Sijui nifanye nini. Nimelewa yangu yote. Nimejaribu kupiga picha lakini ni shine eye sana wanaangalia pande yangu vi-ajab.

Leo ni Tuesday na hakuna mall karubi. Welp!?

Ule mama amepata bwana?

Tunahitaji
[ATTACH=full]121162[/ATTACH]
Ndio we advise accordingly…

3 Likes

Warushie form ya tissue paper pale two rivers…

3 Likes

[ATTACH=full]121164[/ATTACH]
Mnaonaje? Leo ni siku yangu!?

14 Likes

Two rivers iko mbali…but i like your way of thinking!

1 Like

Mchele loading…

9 Likes

Weee chieth…ebu tema hio mate!

Watole form 34b kwanza mwenye ako na afro naeza kamua HKM

Kuna vile wanakaa pharmacists.

*covertly yanks out a 250g sachet out of the afro ‘wig’…teren tere

2 Likes

Pia huyo mwingine ako fywayn thankyou

Nimelewa already…siwezi meza gilbeys ingine

2 Likes

Huyo mwingine anakaa pharmacist, anakaa kuwa na mchele 250g

Sass na vile wanakaa mahungry utabeba bila kununua kakitu? Ukiwanunulia wewe utakaa hivyo Kama peasant ama utaitisha maji? Baas wewe Kwisa. Go home boss. Tomorrow is another day.

Sasa unapanga kuuza bike uwa-treat ama itakuwaje?

Waart i just winked at her na akacheka akaangalia phone…hehe this gone be interesting wachaa niendee washroom kwanza

Hao wanatega, chunga sana brathe

Zii nikiwapatia hekaya za cheki maneno si nitakuwa poa!

Fisged