FORM TWO MANENO'S

Nikiwa form two i was given a suspension .my dad alikua wembe kaa angeskia
nimepewa sus sijui ingekuaje…nlienda exile kwa uncle yangu claiming i
was sick…siku ya kurudi nikingoja viboko nikakomboa boda boda.tukaenda
vizuuuri…tukafika mwenye tulipangana na yeye alianza akalimwa zake
karibu30 akatoka na mamake…i was next nikaitwa…soo confused
nikaingia na boda boda…tukaanza kesi .in the middle of kesi principal
akauliza…“what is the name of your boy?!”…damn.n sikua
nimemshow.msee wa boda akaniangalia n akaangalia principal.nimetense
nasweat tu!!.nasema kwisha sisi…huyo msee wa boda aliamka na kofi!!
Pah!! Nikaona giza…“nikulipie fee tena nikusemee jina kijana!”…hadi princi
akamshow “dont kill the boy”…kwenye uko bro.you are my hero…

16 Likes

Hii tuliona

3 Likes

:confused::mad::confused::eek:

1 Like

He he he!

1 Like

Zidi kuiona

:mad: >:(
:@ :mad: >:(
:@

mlikuwa shule moja?

2 Likes

Told you…hiyo KK yako ni ya Nairobi River. Not Athi River…

1 Like

@roots Mizizi kuja hapa ufafanue ngeli ya M-WA na KI-VI ukitumia viambishi na konsonanti mbadala… Alama 3…

1 Like

Nikiwa form two tulikuwa na mazoea ya kwenda shopping kwa supermarket, ukifanya shughuli zako unasunda pens kwa mfuko unatoka nazo bila kulipia. Siku moja management Wa super wakapata memo. Tukitoka super na paper bags na ariff wangu security wakatuambia tuwapee shopping watusaidie kubeba. Wengine wawili wakakam tukapelekwa keja fulani imeandikwa “staff only” ya midgets juu ceiling ilikuwa low hungesimama straight. Ile war tulionwa na hao security ilibakingi story.

6 Likes

Hizo hekaya si ni swaffi villagers, awesome

2 Likes

:D:D
My bro helped a young man from Langata High hivi tu.
Strange coincidence was matching surnames.

3 Likes

Nilijaribu hii method ocha primo kurudisha my cuzo,waah nilifukuzwa kama mwizi.Hao walimu niwale tu, walikua wananifunza.

1 Like

Vituko umefanya hii maisha ni mingi

1 Like

hahaha…i love this.funny thing naskiaga majamaa wakipeana ma hekaya za highskul.mimi sijwahi fanya kisanga.i was preparing to be a catholic father kama @Libertybut things took a different route

3 Likes

Drop out mbirrionaire’s hapana tambua high sch.

2 Likes

Nimejua sijui

1 Like

ata mimi cjui Kama tulikuwa na yeye huko

1 Like

Yaani ulihepa seminary, elder?

4 Likes

Afadhali jo.
Ungebadilisha kondoo zikuwe game meat.

4 Likes