Nahitaji kuonana na hao wapendwa niliowataja hapo juu
nenda jukwaa la michezo
Ontario
itakuwa ni ile Biashala aliyokuwa anaitangaza sana Ontalio.
Duuuu Ndugu kwa kuchapia :D:D:D
Folex??sijawahi isikia aisee
Ni forex si folex umenifanya nikumbuke the way ex wangu alikua ananihamaisisha kujiunga huko
Lakini si uliona mafanikio yake na hiyo forex
Ulipiga mpunga au ulipigwa mkuu
Sikuwah jiunga huko
sikuwa kuwa mwana forex kabisa
Tupo wazee wa kudownload ma pesa
Wazee wakuchezea makofi ya Kanjibai wapo
Alifanikiwa kukushawishi?
wapo njiani… kuna foleni mataa
Hapana
Hongera sana, za kuambiwa ulichanganya na zako
asante lakinj sikua interested na forex kabisaaa
Wako basi la nyuma wanaingia soon…