Fogo gaucho meat is not cooked to completion. Rant

Nilienda fogo gaucho sometime back na dame Fulani tulikuaga training na yeye story za job. Dame alikua well into her 30’s but me hukaa “mature”. Na hiyo same ilikua imezoea kunishika sana nikajua hapa training ikiisha lazma nifyeke kufyeka

Ile day kulikua na offer ya all kinds of meat. (Coz am a cheap as mofo) na nikamake sure nimemwambia ni nyama tu drinks ni bei tofauti. (Cheap as mofo alert). Nakuanga very conscious of bill BTW. But me huwa surprise na drinks nimebudgetia baadaye na isipite 500ml. Delmonte / minute maid

Haya coz Mimi ni MTU ya nyama choma. Sijawai jua hawa wahindi, wazungu na mabrazil hukula nyama medium rare. I.E. nyama haijaungua/ nyama soft touch

Hizo ghasia wacha ziletee mkate na baskets. Nikaambia ule dame “just wait for the main course” ndio pesa isipoteelee mkate

Nyama ikianza kukam
.meat ilikua imejaza mafuta man. I asked “what kind of meat is this bruh” akasema “beef”. Ngombe ikue imenona hivi kama ile nguruwe @Chloe? Nikachorea iyo roundi. 2nd round nyama ata haijaiva. Sijui mnaletewa nyama ya crocodile

In short usipeleke dame huko. Mpeleke tu creamy inn kunguru ikule icecream ya kawaida. Na view ni ile open.

Sio kama fogo. Unapigwa na joto

Ghaseer, don’t start your meffi

Nunua grill, enda kichinjio nunua kilo 7 ya nyama, tafuta fobe mingi, ita dem, chomea yeye nyama, kuta vitu.

Wacha umbea.

Mtu anarent apartment anaeza choma nyama kweli? Sijasema no huyo msee, just asking.

Meffi nikama umezoea nyama ya @Motokubwa
[ATTACH=full]244408[/ATTACH]

I hate that red beef. but inakuanga soft vizuri.

Typical jkuat [ATTACH=full]244410[/ATTACH]Wewe najua bila picha hakuna kitu unaweza elewa

Sounds like a lot of work. And time

Peasants hua tunaenda kamakis

Ulienda kuitisha ooh rare ama medium rare ukifikiria ni nyama ya rare animals ama ?

*Rudisha ushamba burma

I’m sure right now in Nairobi the fad is eating the rare one at stupendous prices. Saa hio mtu hajui anakula nyama imenyimwa moto. Win-win situation for the restraint owner coz he saves on power and makes extra with nyama mbichi

:D:D:D

That time to is the basis of good memories in the future, PS I’m not in support of the alcohol and girl part.

:D:D:D

unless umezoea hoteli duni,most establishments,6 stars and up will rarely overcook your meat,they know you know whats about to go down.Ni wewe ndio utasema waichome hadi igeuke sandak.Tembea tembea kiasi

https://michelladomenici.files.wordpress.com/2015/10/peter-pan-move-peasant.gifcaipirinha thats name of a brazillian cut,inakuja ikiwa hiyo unateremusha na bia baridi ,saingine gugu is your friend,ungalijua tu

enyewe ushamba ni kitu mbaya.

Someone has misused the word “mature”.All I have read is a story of kid who took yet another kid to a restaurant and couldnt afford to pay for the juicy meat the joint offers

Ignore the Comments.half this peasants typing don’t even know what or where Fogo Gaucho is…watu wa Kamakis basic simple Simon mofos

I eat alot at fogo gaucho Westlands, I’ve never had a complaint. Wewe Wacha upus. Breads are starters, you can also choose any other, they also have various meats, not crocodile only, you choose wisely what you want to eat. Most of what they have is extremely good.

A health advantage of rare meat is that it has less carcinogens than (HCA’s) well cooked meat.
Ile makaa crunchy ivi wewe huenjoy kwa choma huwa cancer loaded.
Alafu steaks huwa marrrinated+tenderised… Something everyone should do in their own daily cooking.
Hii kuchinja then straight to the pot/grill is just wrong. As Africans we have the best quality meat but we haven’t mastered the art of prepping and cooking it.