First android phone in kenya


:alien:

3 Likes

symbian

1 Like

Hio ideos, ilifanya nilikujiwe hadi library nikiwa shule nmetulia kwa lib.

Simu ilikuwa ya fundi beste yangu pale dandora phase 2, opposite jestan restaurant [@Lord_Wanaruona] unapajua. Fundi kwa jina Eriko… akanijenga nitumie juu ilinipendeza, kumbe simu ni mdem alileta kwa fundi. Na mdem alikuwa wale wakulisha watu mchele.. sasa telephone ika trakiwa.. msee alikulishwa mchele ilisemekana alikuwa hali mahututi..

Story iko hapa kijiji wacha niitafute

1 Like

Hii ilukuwa 30k ya sikuizi