Tukiwa colle philosophy class tulifanya paper on wale wasee waliruka buildings siku za attack Yues. Ilikua either uchomeke au uruke udeady on impact. Hio class ilinipea nightmares manze…
Hapa unanyonga kabla ifike Kwa ground
For the past week nmekuwa na memories za 9/11.
Msee akawa na reflex kama za cat anaeza land safe na ahepe.