Finger on the trigger

Wadau, nimecheki hii offer pale IG na naona naweza shika ploti mbili ya kujenga hacienda when I retire.

Need reviews and opinions regarding:
[ul]
[li]Security[/li][li]Climate[/li][li]Water[/li][li]Value[/li][ATTACH=full]441352[/ATTACH]
[/ul]

Upuss…don’t buy retirement homes far from hosies

Retirement homes are good ya kukula kunguru bila effidense

Eti offer?

How much do the plots go for in that area?

Locals wa Nanyuki ni mafala? Kwa nini wao wenyewe hawanunui izo plots?

Ukiretire wafaa kuwa karibu na kwenye utazikwa, karibu na kwenye loved ones wako wako ndio wakupatie care ile unahitaji more conveniently.

Nunua shamba,hapa ukisikia za wanakijiji utajipata ukiuliza swali za kifala ,“wangapi?” “namba?” “damages?”,utamalizia pesa kwa pombe ,maliar na betting

Mimi hata kanisa haipati pesa zangu.