Finally Mr. Wanderi talks

Nimeona Wanderivameongea baada ya wiki karibu mbili ama tatu… Ameelezea wanakijiji watulize nyege anaangalia hii mambo yetu…

[ATTACH=full]476[/ATTACH]

Whether he comes back or not, we will never treat K/list the same way.

If you can comment on that page about our new home.

web dev nimeona kunantu amecomment kuhusu huku…

1 Like

Hata Mimi nimefika Leo after I saw the post on FB. I don’t see me returning to K-list again.

hehehe… Klist ni kama safaricom, watu watarudi tu

1 Like

Hahahaha

dio nimeingia…i missed wanakijiji …respect

1 Like

Yeah… Time will tell though

True. I see one guy called muiyuro chomba and I think that is definitely @kabuda

1 Like

[ATTACH=full]526[/ATTACH]

4 Likes

Just viewed that post and as jerry says it, that post is gold. U can harvest lots of personal data from it. Incognito should be incognito unless uamue otherwise

But you can’t really tell who is who…I have also commented on that post, try and guess who I am, I dare you

Kuna wenye nishajua already.

1 Like

Hakunanga haja ya kuanikana watu Watahepa kama akina KunguThePilot

Back to earth…Naona kuna @uwesmake hapa. so Deorro=uwesmake??o_Oo_O

Mimi siwezi anika mtu. Lakini kuna watu u cross their paths utaumia. They will use that againist you

1 Like

Nope @Deorro = Avicii. That was joke ya kujaribu watu

Sorait, okay, hokay…sawa;)

Yani tuseme hizo listing nili favorite yote ilikuwa kama kuchota maji na kichungi???

2 Likes