Fighting the Will of Jah

Just opened my other hustle / biz hapa Eastlando… Now here comes wicked Babylon fighting the will of Jah… mtu ameplant ma dumbala kwa mlango ya biz yangu… intention ni hii biz ikuwe ash to ashez… Word to wicked Babylonians hapa KenyaTalk no man can fight the will of Jah… May Jah thunder strike all wicked bad minds… feeling pissed.

1 Like

Vile unaongea hapo…wewe ni mtu anafight the will of njaah!

9 Likes

Hehehe a niga is just trying to get his bread… and mofoz want me buried…

1 Like

Picha iko wapi

Dumba ndio nini.? Wapi picha?

1 Like

Dumba ni vitu za uchawi kaka… what i got i can only describe but not take pictures… black knotted materials with candle wax on it red, blue, green candle wax… kawaida uchawi related paraphernalia.

Kwani biz ni gani ?

Unajuaje kama wewe si mchawi?

2 Likes

Kama iko na knots basi ni dumba ya kweli, the witch blew into those knots, ungekuwa muislamu ningekuambia usome surah tatu za mwisho ya Quran, hizo ndizo pigo za dumba.

1 Like

Dumba ni mayele.

Wacha masawali za upus… its general knowledge unless u have lived a sheltered life uptown kutoka utotoni… lakini najua wewe ni eastlando born and bred.

Nothing too big for Jah…

1 Like

BABYLONIANS WAKO KENYA?

5 Likes

Simple. We all have read in The Holy Qur’an and The Bible and other Holy religious books that the pig is cursed. Nunua kilo ya nyama ya mbuzi ulaya,cook it and eat it. Halafu leta hizo bones na fat kwa duka. Place everywhere…ndumba itakuwa dead.

hahahah does that isht work really?

evidenceya will of jah ikijaribu kupingwa??

Mi kungekuwa na uchawi real singewahi tafuta pesa. Kukatakata tu magazeti mob na kupeleka kwa wangwana nitengenezewe manoti.

@Nyadist hao ni ma fallen angels, bomboclat dem. Dont mind them bruh

:slight_smile:

You keep doing what you do, they can’t block the cash flow that Jah jah won’t allow them coz what you are doimg is righteous and good,trying to feed family