Fibre optic router

Saidieni where I can get this, nahama service provider wangu mshienzi kabisa and the new one amesema tp link yangu haifiki mboga ya new technology and have to get one that is fibre optic compatible.
Where can I get kwa bei nafuu.

deek yako pia mama wa nyumba atasema haifiki mboga ukimchunisha mboga

Scrotts, nisaidie priss. Nitakuchunia sukuma kumbwa za birthday yako

The current provide ,shld also provide you with one and at an extra fee

Want to see options and prices

Hio router ya safcom itafanya,ukitaja fika pale inbox

Weka hapa hadharani, huko inbox mtu hunyongewa huko

figsed.

What kind of fiber tech is he using if it’s gpon kuja inbox nko na gpon ont routers mingi hapa