Leo nikitoka Githurai nimepanda Suzuki every za 8seater. ka msuto kalikuja.
Niliamua kuachilia silent assasin. Makosa nilikuwa nyuma kabisa na hakuna dirisha.
Hio kitu ilikuwamoto sana nilisikia tu mwenye ako kando yangu akiclick na kufunika mapua. Dere na co driver walifungua dirisha. Hadi wanatema mate
Basi nikajua mambo imechemeka. Uzuri nilikuwa nimevaa hoodie,nikiingia airport saa zingine mimi hujificha.
Apo ndani nilikuwa nimekaza kicheko. Nikisikia ka mama kyuks mzee akicomplain akisema venye watu hapa hivi ni wakubwa mbona mtu aharibu hewa.
Kiasi akaanza stori na diet na food hygiene na drinking water.
Wacha wasee wanze kuchachisha wakisema hewa imetokea side tuko but main suspect ilikuwa boys fulani amekaa kando yangu.
Huyu kijana alikuwa mtu wa jaba na mchafu kiasi.
Alianza kukataa sio yeye amenyamba wasee nao hawasikizi wanamuuliza ni nani, yeye anakataa tu sio yeye.
Hao wamathe walimpiga msomo aende home aonge vizuri, awaache mihandarati na aangalie chenye anakula.
15 Likes
Hii thread reminds us of legendary talker @Adeudeu . Its one of my favourite hekaya. Hio hekaya ilifanya niogope mtura banae.
5 Likes
Kahawa_vajo:
…d hygiene na drinking water.
Wacha wasee wanze kuchachisha wakisema hewa imetokea side tuko but main suspect ilikuwa boys fulani amekaa kando yangu.
Huyu kijana alikuwa mtu wa jaba na mchafu kiasi.
Alianza kukataa sio yeye amenyamba wasee nao hawasikizi wanamuuliza ni nani, yeye anakataa tu sio yeye.
Hao wamathe walimpiga msomo aende home aonge vizuri, awaache mihandarati na aangalie chenye anakula.
Bado huja report kwa job ile ya county after xmas?
3 Likes
Kahawa_vajo:
…d hygiene na drinking water.
Wacha wasee wanze kuchachisha wakisema hewa imetokea side tuko but main suspect ilikuwa boys fulani amekaa kando yangu.
Huyu kijana alikuwa mtu wa jaba na mchafu kiasi.
Alianza kukataa sio yeye amenyamba wasee nao hawasikizi wanamuuliza ni nani, yeye anakataa tu sio yeye.
Hao wamathe walimpiga msomo aende home aonge vizuri, awaache mihandarati na aangalie chenye anakula.
Umekuwa @Mshutaji_Hodari
Next time excuse yourself, weka tako nje ya dirisha achilia ushuzi. Unaskia!!
Hio hekaya ilikua noma sana
1 Like
Ambia @Electronics4u akupee ufunguo za store ya xenphoro. The ghasias did us dirty when they migrated. Nikiboeka I used to read Ile super thread ya lanye…
7 Likes
Huwa mnadhani wachawi ni wale wa kukimbia usiku pekee yake. Huyu anatoa biologial weapon of mass destruction ni mkubwa wao.
This is just but one of the reasons i hate public transport. In the last twenty years nimetumia matatu not more than four times. Some grownups behave worse than pigs.
1 Like
I use matatu often…hata kwa flight utapata tu makende ya mtu imenyamba mbaya sana. Better matatu mtafungua dirisha…kwa flight itabidi mmekunywa tu hiyo mshuto yote hadi iishe
1 Like
Hujakutana na watu wana homa kwa mat lakini huwezi fungua dirisha upepo ipite.
1 Like
slevyn
January 7, 2026, 9:30am
12
kuna slay mwingine alinyamba kwa local mtu akasema “tuwache kukunia”
1 Like