Fantasy Premier League a few more hours : Join Talkers league

Create your team before the kickoff of the first match https://fantasy.premierleague.com
And join the Ktalkers league. Here is the league code 1020208-267084
Cc @Mzee mzima and @Jirani

2 Likes

hio league code ni ya nini?

nimeweka
[ATTACH=full]52767[/ATTACH]

I think ni ya kujoin league ya Ktalk.

Almost forgot let me register

1 Like

Hapo sawa

Enda tab ya league the join leagues then private leagues then weka hiyo code

1 Like

poa poa the bird (mzito) has landed
[ATTACH=full]52778[/ATTACH]

Hapo sawa

1 Like

Sniper niko ndani

Mtu ana add code wapi? Nimetafyt nmekosa

Enda apo kwa league

1 Like

Tab ya leagues, then create/join leagues then join private league box ikikam weka code

1 Like

I think unatumia phone that is why u are finding it difficult. Nimetoka kwa laptop nkaja kwa phone yangu to lead u thru

  1. Enda hapo kwa tabs and click “More” and then Leagues
    [ATTACH=full]52786[/ATTACH]

Kidogo kidogo scroll down and click private league
[ATTACH=full]52787[/ATTACH]
Utaona hio place ya code

1 Like

nimejoin nasijoni kwa hio list