Ethic beaten at koroga festival.

[ATTACH=full]246866[/ATTACH]

Wali korogwa ndani ya festival literally …

Anataka kuambia watu walipigwa hivo tu bure???

Msiseme nachukia hao vijana. During the launch of their song figa at golden ice I was invited na vile those little imps were behaving kwa mall nzima Yenyewe uko koroga lazma wangepigwa wakipeleka iyo tabia uko

Najua abdul ni mnoma kukoroga sio?

Koroga is an elitist event… I still don’t understand why they invited Ethic…

Ethic nao walipeleka tabia zao za ghetto huko Tatu City, lazima wangetulizwa na bouncers…

Walifanya nini?

Ethic ndio nani.

Where did kina Collo,Jua cali,Nameless,Bamboo go,am tired of what i see on TV nowadays

Walikosa content.

Who the fuck is Ethic?

Kipii kwani uko na miaka ngapi hujui Ethic?

Mimi ni fossil bana.Kama they are part of the youngings littering our screens with vulgar songs i never waste my time watching them.
Just recently nilisikia ingine which has some part going like “wamnyonyes wamlambes”
I left the party at that point.

Ukiwajua unipee uhondo…Na siku hizi uko na mehemeheee mingi

Upusu

Kama mumezeeka mkalishe kende kwa nyumba ns muone inooro. The new street wave is unstoppable.Atleast nmekaa bila kuskia any naija song of late.

That wamnyonyez has no flow, the music these milennials like siku hizi no za ajab

kimakia siutengeneze ngoma zako muskize hapo kwako punda hii. ama utafute huyo bamboo aje akuimbie?

Thegere uri wona kimakia arume?

This is their side. Kutwangwa.
What is the Koroga side of the story? Anyone?
I thought so…

You know next-gen mall is a ghost facility now this lads together with their entourage were giving those security guys a hard time.

They were hoping from floor to floor na wanaingia kwa izo vaccant offices waki squeeze uto tuschana twao na uko… Vitu za ajabu ajabu