EPL Game week 6 today, Place those predictions

Reddit - Dive into anything

wacha tueni the results of training in a car park:rolleyes:

Arrrrrrrrgh si Leicester wafunge hizi burugenge already!!!

Mafala zimefunga siet

Hawa Leicester wanakaa kutoboka mabao sana.

Hata haijapita 10mins after u wrote this na washapewa ya pili.

Leo hatutapumua huku sanasana Chelsea wakituchapa

Update ya tatu sasa

1 Like

3-0 UMBWA NYINYI LEICESTER

chesos hawa leicester wanakamuliwa hkm

POGBA scores…
Confirmed leo hatutapumua

4-0

Yes, those were the days. We used to watch it on KBC Tv.

Leicester wametoa Vardy and Mahrez . nini mbaya na huyu coach?

better to rest them for the next game. Hii game imeisha

Ndio nimeskia commentators wakisema wana restiwa for champions league game ya tuesday

Kubaya kubaya!Kuboronga kuboronga!

Hata miye nilikuwa nafuatilia FA wakati huo nikiwa shule ya msingi lakini nilianza kuishabikia Chelsea mwaka wa 1999 hivi.

Everton na Man city watachoma bets zangu wakubwa. Nli bet Win after 90

Wewe, wacha upeasant kwa football. Barca Walishinda Sampdoria 1 - 0 Finals Champions league1994 wakiwa na Pep Guardiola kwa mid field!

Hata Blackburn walishinda EPL in 1995. That doesnt mean they were a force to reckon with in the 90s

2 nil up for gunners. Lakini game ni 90.

1 Like

Ndio maana siongei or celebrating

1 Like