Enzi zetu

Kama uliwai cheza hii, kweli umelamba chumvi mob

[ATTACH=full]5333[/ATTACH]

12 Likes

hehe snakes an ladders nilikua na bahati mbaya sana kwa hii game

Hehehe. Memories are made of this.

haha 84 na 87 zilikua na nooks sana

alafu pia ludo

Ludo was awesome

Snakes and Larders plus Ludos hehehe

Ludos sikuwahi elewa inachezwa aje

Ludos ni gani? can’t recall.

Correction: Ludo (my mind is in Liddos)

Enzi zetu kweli. such games have today been replaced by PS3 na XBOX games

they even used to be printed at the back of exercise books…ka hauna bahati ungepata times tables!

Nilikosana na boy wa Brickgame… Si niliona siku mrefu. Na vile my mum nikimwambia nataka brickgame angeuliza halafu unataka tukule nini?

[ATTACH=full]5342[/ATTACH]

You must be the “Maziwa ya Nyayo generation!”

[ATTACH=full]5345[/ATTACH]

4 Likes

…i still play it…i guess i refused to move on…:)…

:):):slight_smile:

Hehehe…Bado Liddos ina exist??? If it does, i think sahi ina mastripper wamebeat mbaya…

@kush yule mnono Umewai fika a 100 kweli ama zako ilikuwa kumezwa na nyoka???

Bado but the last time I went there even the ICC cases were unheard of in kenya