Enyewe Jirani aka Jay I owe you a beer....

Eti manzi wa kwako akikuletea nyef nyef ukiwa umetulia Tu kwa hau…unamwambiaga mum wacha kukasirisha Jay please. Bado anaendelea. Fuse yako inachomeka wakati anaku point point kichwa akikuuliza Kama uko Na akili. Hapo ndipo unamrukia Na kumfunga Na mikono take Na hapa nyuma Na kumzaba makofi then unampiga tego hadi chini…when I recall that comment I laugh Tu Kama chizi…funny man

mbicha ukicheka kama chizi au yote ni hekaya…

1 Like

aki jay :D:D:D:D:D

i think @Jirani ni Morris kiplani hehehh, ati after 2 hot slaps na kum-dwy fwy ruthlessly the empress tells Jirani ati; “bae unajua umeniumiza but I still luv u”
.
ebu post that full comment

1 Like

Its incognito guys like him that makes this village interesting. You have no option other than laughing when some random funny comments comes to mind.

2 Likes

Da faaq?, uyu mkamba kiswahili imepiga yeye chenga ikamwacha chini kapsaaaar!
.
[ATTACH=full]11480[/ATTACH]

3 Likes

My thots when I saw that video. Si kwanza jay said after ma left right anamchukua design ya karau hadi bed Na kum Morris…then mwisho anamshow mum usiwe unakasirisha jay…oh God

For some reason I think @bjurmann = @Jirani

2 Likes

Alafu @Jirani story zake hazikosangi 2 hot slaps; yaani lazima mtu afunikwange kofi kadhaa ndio wajue vile atasaidiwa. Its like he slaps you; then you turn the other cheek as Jesus said for the 2nd slap, ahaha

4 Likes

@Jirani is one funny chap story zake hua funny sana anafaa alete @Cabaye na aunty cabby

5 Likes

Jay is one funny incognito always enjoy reading his stories

Very funny character, one can’t help but laugh at those comments ata kama ni ukabila anatype. There was a story @Cabaye told back in klost that still makes me laugh to date. He was giving advice on how to make a woman fall head over heels in love, and told of a girl he had applied those skills on. Cabaye claimed to have been so good in bed mpaka at some point the girl started saying “Aki cabaye unanipendua kama chapati.” Mi hukumbuka hio part ya chapati naanza tu kucheka.

2 Likes

[ATTACH=full]11505[/ATTACH]

2 Likes

hiyo ya kupoint kichwa na kusema hana akili ndio it still gets me but its very irritating

2 Likes

Aki @Jirani kuja nunulia majamaa kinywaji. Si wamekusifu tu vinoma sana

1 Like

This is purely written in Kamba. Wacha kysoma kiswahili. Ask any Kamba and you’ll see that it’s written in Kamba. I can even see its in a Kamba town.

What else did you expect?

In Swahili its Duka La Dawa while in Kamba is Nduka Ya Ndawa.

Schiupit malenge wewe.

2 Likes

Acha feelings madam. We now know you are a Kao. Eish!

2 Likes

:D:D:D:D:D

1 Like

Wrong.

Asi, this Chloe Kako na matusi hivi?

3 Likes