End of Kusota Era

Wadau nisaidieni na idea za kumake pesa. Manze mi ni graduate wa Bcom and am willing to do anything legal kumake doh… Priis priis watu wa affiliate marketing am super broke sina ya kujoin any program. Hizo opportunities zikiwa along mombasa road itakuwa way better

Enda bm security wanataka guards

tafuta vijana wa class 8 hapo mlolongo. chemsha mayai 50 umpatie auze hapo stage. jioni uletewe profit yako umpatie commission yake ya 3 bob for every egg sold

Huyu mjama amekupea idea kali sana, jaribu hii na uweke na smokies hapo. Hii ni biashara unaeza anza na 1k. But ukisota saana create ya mayai sahii ni 300bob (30eggs), Kachumbari ya 100 bob…

idea poa juu Arap Arror pia alipitia hiyo job.