Encounter with thugs

Nilikuwa natoka side za huko buru kajob nilikuwa nafanya ka mjei.Ilikuwa kitu 6 jioni, nikaona jam ilikuwa outering hiyo githaa siwezi panda mat.Nikaamua wacha nikatie kiambio slums nitokee pale raunda ya kariobangi. Mimi huyo teketeke nikiharakisha giza isinipate hizo ma area.
Nilikuwa na thao saba kwa mfuko na tatu kwa ngotha,simu na briefcase yangu ya kubeba tools. Nilipofika pale kwa mto ile hutokea pale raunda,nikaona wasee waine mbele yangu wakienda the same direction na mimi.Stori zao zilikuwa ati vile koroga ilikuwa ngumu.Nikajua hawa ni wenzangu wametoka wera.Nikaongeza spidi kidogo ili niwafikie tupelekane nao.Kuwakaribia the guys divided themuselufu nikaachiwa njia katikati yao. Wueeh nilishikwa kibare ya masikio nikaanguka.Majamaa wakanishika kama kuku inataka kuchinjwa na kuanza kuniperemba. Ile kofi ilifanya nikawa confused juu mimi ndio nilikuwa nawaonyesha zenye zilikuwa kwa ngotha.
After terrorising me for like five minutes,i was told run na nisiangalie nyuma,mimi na ujinga zangu nikawambia wanipatie ID.Jamaa mmoja akaona viatu zangu za CAT,nilikuwa nimebuy thao tatu jo. Nilipigwa sweep,nikiland sikuwa na viatu. Id nikapewa,nikaanza kwenda nikiwa na socks tu. Mmoja wao akatoa viatu zake akanigoga nazo nakuniambia jisort na hizo. Nilicheka kwanza majamaa,kiatu yenyewe sijui Kama walikuwa wamenyanganya shaq,ilkuwa kubwa mbaya.Kuiva mguu yangu ilikuwa inafika katikati. Kutembea ni kama bata patapatapa. Nilifika mtaani wife ananiuliza kwani hizi ni viatu gani umenunua.
Maze wezi Ukipata team building inadeal nao join them.

pole sana boss.
nimecheka juu ya naration yako
iko tops

pole sana bruh, iko funniest

:D:D:D

pole sana bro, luckily for me, for the 12 years i have been in Nairobi, I have never encountered thugs, never i have ever even lost a phone

Hehe… Pigana Nao. Alar!

Me ni slim shady lakini nikipatana na wezi mimi huweka Vita… iko nini. [SIZE=3]Wife alisema nikiuliwa atanifufua aniue tena[/SIZE]

Nikuulize io ngotha yako ilikuwa na mfuko kama zile biker??

Walibeba zile zilikua kwa ngotha? :D:D

timam…
lesson learnt; kiherehere uwache

You just jinxed yourself. Expect kupatana na thugs in the near future.

una bahati

Kuna ngotha zilikuwa na kamfuko kadogo kitambo.

Mimi ndio niliwatolea bila kuitishwa

Umejiweka nux, huendi mwezi moja ka hujainuliwa inuinu. Anza kuandaa hekaya

Kuna jamaa najua alijaribu hizo,alipigwa kofi na panga mpaka leo ako na Nike kwa shavu

ukiona more than three people kwa barabara jioni weka distance…

Hehe … @arap Kirwa hizo ma areas nazitambua mbaya. Anyways vyenye @slevyn amesema hapo ju, hapana tembea kimandazi mandazi kama wako more than two mboyz within your vicinity. UnaKaRadar_

ulikuwa unasave hio 10 bob ubuy meli ama? unawalk with 10 ndovus?

Good one mseiaa but pole kwa masaibu… Mi nilishawahi ona Somali sword ikitoka ndani ya mguu ya trouser…it was traumatising to say the least

Ati meli:D:Dni kibare ilikuwa inaniita