Jana Ngimanene went to a petrol station and bravely told the attendant jaza, kwanza V Power. Wakati wa kulipa bank app haifanyi bana, na hakuna kakitu kwa mpesa na hakuna ATM card niko nayo. Sasa ni kwanza kupiga simu oooooh si unitumie pesa nakurudishia baadaye, wakati hio attendant amekuwa brave na kuniambia weka gari kando na ameita attendants wengine.
Banks zinafaa zitume sms kusema app will be undergoing maintenance kama vile mpesa na kenya power hufanya, si kufanya wateja wakuwe na aibu ndogo ndogo.
Na bado @digi kïhiiiiiiiiiii humbwa koko taktaka ya manispaa chiet ghaseeer ibilisi
I remember sometime last year when mpesa was down, watu Kwa petrol station walihangaika Sana. Wengine kwa supermarkets pia waliumia, unafanya shopping unaiwacha Kwa attendant.
Happened to me either beginning of the year or late last year. Was so embarassing kusmama hapo for a full 10min with a full trolley, kwanza Naivas westlands vile hujaa watu. Dont ever trust commercial bank of Africa, they have the worst systems.
Swipe kabla uwekewe mafuta next time, hizo app huwa useless sana. Hiyo gari ungewacha hapo upande matatu uende kwa ATM kama hungeraise hiyo doh. Seen this mara kadhaa. Petrol stations dont joke, kwanza za walalo.
Kwani ni CBA loop, ndio iko na madharao hivo, happened to me na nimeitisha juice mbili takeaway mahali nikiwa na baeee, huyo mwarabu aliniabia niende tu ikiwa poa nitalipa. I paid him in an hour’s time vile iliamka, pesa ya mswahili huwezi hepa nayo unaweza jipata hapo archives asubuhi ukiwa ndithi…
I once saw a campus chic paying for a soda na M-Pesa wakikatiana hapo na chali yake, sahizo the que imekuwa mrefu supervisor ashaanza kuhanda cashiers.
That transaction was worth 49 bob. Ile look walipewa sidhani watawahi rudi hiyo supermarket:D:D:D
Always weka kitu 3k kwa slits za wallet,you never know when sheet hits the fan. Down side tho,nilikua nabadilisha wallets after kuchapa,while moving stuff nikakuta ka thao kale ka zamani. Unaeza jipata unasahau ka kuna noti mle ndani