Elders saidieni am under surveillance.

Google play service is turning on my Bluetooth. How do i disable it.
Asanteni sana.

[ATTACH=full]374907[/ATTACH]

Na location? Hiyo inajiwasha ovyo ovyo? iTel getting warm for no reason? Utalipa deni/kula bibi ya wenyewe wewe

Alibaba wamekutumia kakiti.

Unatumia brand gani?

Uliuziwa simu na @Agwambo ??? If yes then that’s where the rain started beating you

Settings>Apps>App Permissions … Then disable permissions for Google Play services or check what’s allowed under your Bluetooth permissions.

Xiaomi redmi 9s

simu za @Agwambo huwa zimeibiwa rwanda

Go to app permissions and turn off

Wanaruona were you successful.
Leo me pia nimezima Bluetooth twice.

Kama vyenye umeambiwa zima app permission