Kudos to the Biz Owner for the good job!
Atume huyo mwizi Sayuni.
Ghasia imepokea salamu mwoto. This is how we should be treating Kenyan Mps.. wakikuja mtaa kama kazi ni kuiba na kuchoir upuzi in parliament wanapokea welcome.
I guess.. kenyans wanajua ku deal na wezi wa class ya chini tu.
Wale wa class ya juu unapata hawajui how to deal with them. Until wakenya wote wafikie such level then itakuwa rahisi ku deal na mps
Hakunanga kitu huuma owner of capital kama kukaa ukijua kitu fulani Iko only to go for it halafu uikose kwenye ulikuwa unajua uliweka. I recently went to my store to get a leftover roll of snake lights, controllers and G45 bulbs kupea fundi nilikuwa nimeita tucheze na lighting kidogo nikazikosa. Kuingia ndani kidogo mahali nilikuwa na cable ya 1.0mm metres kadhaa napata pia hio Iko missing. Karibu nilie na vile sikua na pesa ya material. Another time msee wa counter ananipigia asubuhi kuniuliza kama kuna mizinga niliuza after waende nakamwambia zii. Kufika job tunaangalia cctv naona a handyman I had trusted so much alinitoka mizinga za Johnie Walker Blonde mbili, Smirnoff vodka 1 litre moja, Captain Morgan mzinga kadhaa na several ghaseer drinks akina Chrome na County. Hio siku msee alisonga na stock ya kitu 15k. Fired the ghaseer on the spot nikataka kumuweka ndani but huruma took over juu he has a wife and a very young kid.
Sema tu chrome na county. Meffi.
Dealing na wafanyikazi inataka patience kama ya JOB, na understanding ya ajabu. Unaeza fanya mtu mbaya.. awekwe ndani familia yake iteseke.
Mimi kuna dereva alinikulia full tank ya 65 litres… iliniuma juu nilim trust