Ekeza Sacco

Naona wawekezaji wakilia lia hapo Yala towers. Gakuyo alikula 2.6 billion na akaingia mitini. Jana walikuwa wamekuja kumtafuta pale calvary thika myamaa akakula corner. People should discern where they put their money. Hata hii shenzi ilianza sampesa agency pia watu watalilia chooni huko westlands.

When a deal is too sweet think twice!

What baffles me is that bado anaendelea na real estate.

:D:D:D wacha walie, tried to warn some of my relatives, but who am I, to counter the servant of god Bishop Gakuya?

Hapa ndio huwa uko pub ukichapa mbili tatu jamaa anaingia akiwa solo kuitisha poison yake unajitoa.

Hawa wajinga sasa watasaidiwaje? Kama uko na pesa za kuharibu si basi uibiwe tu? Hii kitu ata early 2017 Dennis Onsarigo aliangazia, sasa kama mjinga aliendelea kuweka pesa huko anatusumbua kwa nini?

https://www.youtube.com/watch?v=koIQ-sGrMTM

Kuna place tunakulanga porko meat na yeye.bt anakaa mkora tu

wangekojolea hio kanisa yake…au watafute goons kama @Motokubwa

Naonanga hoi handle ya Blue line nakumbuka tu “A naked @blueline at Juja”.

This thing was exposed years ago, I think in 2016 but people didn’t listen. If people didn’t listen then don’t complain now. Its the same for all land buying sacco. If they say land is 80k, ask for the title deed to start the normal process to buy it. Scrutinize, then buy if its clean. If the amount you are giving is equal to a plot, let them subdivide for you that plot immediately before completion of payment. This thing you are asked to pay for land divisions without proof or title is 1960 con game. Even if title is there confirm how many people are being promised the same. Some need 100 people to buy into it for subdivision to start. By the time it reaches 90 people the cons have switched their phones and disappeared.

Greed will kill many…I cannot blame the pastor in such a case…kama mtu anajua 40k ni rent ya Muthaiga…how do they expect to get a house from 10k-20k.
Wajinga ndio waliwao

Wakenya hunishangaza na hizi vyama na sacco. If you have money to save, why not save for yourself kwako or in a reputable bank. Why the need to fee attached to people?

His victims are very nice people. They see him going in and out of buildings and nobody has the courage to make him uncomfortable? I need to find those guys so that I too can become rich overnight

They shd occupy Calvary centre Thika.

Sasa.wanamkimbiza…

Hiyo so kitu. Hiyo Mercedes yake inaweza parara sana