Habari wakuu na eid el fitir.
Tangu sikukuu hizi zetu za kidini zianze kusherehekewa ndani ya utawala huu.hii imechoka kuliko maelezo.
Mtaani kwetu zile harufu tulizozoea kusinusa kwenye sikukuu Leo ni nyumba chache sana utazikuta.
Huko kwenu vipi??
Eid mubarak
Bado tupo kwenye kikao na tcra
Nilipo mambo ni mazuri kuliko maelezo…
Cc: @Mahondaw
Aisee