Wacha mchezo…, afadhali ungemwambia uta mconnect na mtu ako nazo
Thanks so much @Mrs Shosho (na hiyo jina si supuu vile). I will do that thanks.
250 trays ni mayai 7,500. That is per day, meaning zile kuku 10,000 ulitaja hapo juu ni mingi sana. Alafu nilisema per week. So not unless hizo kuku zako zinataga 0.75 eggs per week.
Angalia calculator, labda beta imeisha ama calander yake haiko poa inafanya hesabu za wakati wa carry francis
Hiihiii jina iliannoy my baes hapa sana. They still call me MFWine…
I think ur still new in this business, u can’t approximate like that, ndio maana I rounded off coz of the cocks and some birds don’t lay eggs daily. And FYI someone with that size of a farm hangojei tu order moja kama yako so probably ako na more birds.
Hiyo discrepancy yako hata haimake sense. Unajua week 1 iko na siku saba? Bro tufanye hivi, tuachane na hii story coz inakufanya ukae waititu jr.
Sawa, Haina ngori, but ungetumia hiyo ujanja yako kujilimia hungekuja kulialia kwa hii kijiji. Bye
300 trays a week in Thika. State your price and duration of supply for consideration.
Vorrowing…wekeni deets za prices hapa pris. I am planning to come back to Kenya and make serious cash from all you lazy bones. So naokota ideas.
Kwanza between Kiambu and Mombasa…weeee niliona pesa zikianguka if you are willing to wake up early and get down and dirty with it. And know some lorry drivers!
250 x 30 = 7,500eggs/wk
= 7,500/0.8
=9,375 hens laying @80% capacity.
270 per tray biashara ya haraka starting Sept 1st
I can be preparing the ground for you.
For how long?
Reason, i need a good motivation to cancel my current buyer since he also picks and brings feeds for me.
Kwani hizi kuku zenu zinataga one egg per week?
For as long as your hens are laying
Wee kwanza chukua the 1st order alafu uongee coz there are logistic deets to come. Thika is a bit far and the eggs can all break …so this is a delicate biz.
definitely that is why the wholesale price should be low, plus they have boring margin not like milk.
Ohh sorry.
Divide that figure by 7.
9,375/7 = 1,339
~~1,400 hens
Kuja inbox. I guess 3 eggs per crate, hatuwezi kosana na 300pt.
Niliona pesa making opps yaaaawa huko Kongowea and Bamburi environs. Ngonja tuu nirudi. I stood by the roadside once to buy those e long Mombasa Raha dresses for some relatives at Shanzu. Weeeeeeeee the women turned out to be my fellow Kyuks.
Me…Habari zenyu…
Women …Mzuri
Me…hii moja mnauza aje
Women…mia tano
Me…apana hiyo ni bei kali sana
Nephews…piping something in their stupid english in the background
Women…aya matikaraga guku(work this one out)
Me…nindiraigua gikuyu…they had nowhere to hide!
Women…wamaitu tutikugaga na uru…
Me…Noweega…
But I bought 10 of them after some banter and at 350 per piece
Moral…pesa iko Kenya…