Check hii ni fupi boss na inastory nzuri sana
Nashkuru boss kwa ushauri wako, ntaufanyia kazi
Nashkuru sana boss kwa ushauri wako, ntaufanyia kazi…
Haina shida mkuu ngoja nije kushow love
Pamoja sana mkuu share na kwa wana pia
Kama ni hivyo basi watengeneze vitu ambavyo vitavutia watazamaji kuliko na kuhangaika kulazimisha tukaangalie
Nichome bando langu halafu mtu akalipwe hela…
Parasitism hii ni ya kuepuka sana
Ndio ndio japo wanatumia akili nyingi sana kukushawishi
Tangu kule JF, hizi link za utube nilikuwa siaangalii hata kidogo isipukuwa habari ambazo hazina mrengo wa kutafuta viewers
Nishajua unapenda kuangalia mambo gani:p:D:p
:p:p:p:p:p
Ebu funguka mkuu
Aaah!! Mkuu itakua sio busara
C toi kiki
Duuh! Kumbe ile tabia yako unayo hadi huku rafiki. Hebu fanya fanya udownload basi rafiki kisha uje kunihadithia.
Au ukishindwa nimuite @Sesten Zakazaka aje atuhadithie hiyo video inasemaje. Sababu sisi bando Mzozo. Hahahahaaaaa.
Hahahaaa. Hatariii.
Umeonaeee. Basi uko ka mie huwa najikuta naudhika tu.
Wawe wanatuhadithia tu
Wanatafuta viewers hivyo
Kwa mbinu hiyo watasubiri sana
Hahah!! Bora umuite tu huyo kiongozi aangalie alafu atatuhadisia maana mmh!!!
Hahah!!
Hahahaaa. Umeonaeeee.
Hahahaaa. Sawa ngoja aje halafu atuhadithie inahusu nini hiyo video.
CC. @Sesten Zakazaka.